The Holy Bible: Swahili New Testament

Transcription

The Holy Bible: Swahili New TestamentbyAnonymous

About The Holy Bible: Swahili New :Source:Language:Rights:Date Created:CCEL Subjects:The Holy Bible: Swahili New nymousGrand Rapids, MI: Christian Classics Ethereal LibraryThis Bible translation was converted automatically from data filesmade available by the Unbound Bible project. Book names,introductions, titles, paragraphs, and the like were not available, sostandard English names have been used. Therefore this file wouldbenefit from additional work by someone who has access to a printedition.The Unbound BibleswPublic Domain2002-12-31All; Bible

The Holy Bible: Swahili New TestamentAnonymousTable of ContentsAbout This Book.Title Page. . . . .New Testament.Matthew. . . . .Matthew 1. . .Matthew 2. . .Matthew 3. . .Matthew 4. . .Matthew 5. . .Matthew 6. . .Matthew 7. . .Matthew 8. . .Matthew 9. . .Matthew 10. .Matthew 11. .Matthew 12. .Matthew 13. .Matthew 14. .Matthew 15. .Matthew 16. .Matthew 17. .Matthew 18. .Matthew 19. .Matthew 20. .Matthew 21. .Matthew 22. .Matthew 24. .Matthew 25. .Matthew 26. .Matthew 27. .Matthew 28. .Mark. . . . . . . .Mark 1. . . . .Mark 2. . . . .Mark 3. . . . .iii.p. iip. 1p. 2p. 2p. 2p. 3p. 4p. 5p. 6p. 8p. 10p. 11p. 13p. 15p. 17p. 18p. 21p. 24p. 25p. 27p. 28p. 30p. 31p. 33p. 35p. 37p. 41p. 43p. 45p. 48p. 51p. 52p. 52p. 54p. 56

The Holy Bible: Swahili New TestamentMark 4. .Mark 5. .Mark 6. .Mark 7. .Mark 8. .Mark 9. .Mark 10.Mark 11.Mark 12.Mark 13.Mark 14.Mark 15.Mark 16.Luke. . . . .Luke 1. .Luke 2. .Luke 3. .Luke 4. .Luke 5. .Luke 6. .Luke 7. .Luke 8. .Luke 9. .Luke 10. .Luke 11. .Luke 12. .Luke 13. .Luke 14. .Luke 15. .Luke 16. .Luke 17. .Luke 18. .Luke 19. .Luke 20. .Luke 21. .Luke 22. .Luke 23. .Luke 24. .John. . . . .John 1. .Anonymous.iv.p. 57p. 59p. 61p. 64p. 66p. 68p. 70p. 72p. 74p. 76p. 78p. 81p. 83p. 84p. 85p. 88p. 90p. 92p. 94p. 96p. 99p. 101p. 104p. 107p. 109p. 112p. 115p. 117p. 118p. 120p. 122p. 123p. 125p. 127p. 130p. 131p. 134p. 137p. 139p. 139

The Holy Bible: Swahili New TestamentJohn 2.John 3.John 4.John 5.John 6.John 7.John 8.John 9.John 10.John 11.John 12.John 13.John 14.John 15.John 16.John 17.John 18.John 19.John 20.John 21.Acts. . . .Acts 1. .Acts 2. .Acts 3. .Acts 4. .Acts 5. .Acts 6. .Acts 7. .Acts 8. .Acts 9. .Acts 10.Acts 11.Acts 12.Acts 13.Acts 14.Acts 15.Acts 16.Acts 17.Acts 18.Acts 19.Anonymous.v.p. 142p. 143p. 145p. 147p. 149p. 152p. 155p. 157p. 159p. 161p. 164p. 166p. 168p. 169p. 170p. 172p. 173p. 175p. 178p. 179p. 181p. 181p. 182p. 184p. 186p. 188p. 190p. 191p. 194p. 196p. 198p. 201p. 202p. 204p. 206p. 208p. 210p. 212p. 214p. 216

The Holy Bible: Swahili New TestamentActs 20. . . . . . .Acts 21. . . . . . .Acts 22. . . . . . .Acts 23. . . . . . .Acts 24. . . . . . .Acts 25. . . . . . .Acts 26. . . . . . .Acts 27. . . . . . .Acts 28. . . . . . .Romans. . . . . . .Romans 1. . . . .Romans 2. . . . .Romans 3. . . . .Romans 4. . . . .Romans 5. . . . .Romans 6. . . . .Romans 7. . . . .Romans 8. . . . .Romans 9. . . . .Romans 10. . . .Romans 11. . . .Romans 12. . . .Romans 13. . . .Romans 14. . . .Romans 15. . . .Romans 16. . . .1 Corinthians. . . .1 Corinthians 1. .1 Corinthians 2. .1 Corinthians 3. .1 Corinthians 4. .1 Corinthians 5. .1 Corinthians 6. .1 Corinthians 7. .1 Corinthians 8. .1 Corinthians 9. .1 Corinthians 10.1 Corinthians 11.1 Corinthians 12.1 Corinthians 13.Anonymous.vi.p. 218p. 220p. 222p. 224p. 226p. 227p. 229p. 231p. 233p. 235p. 235p. 237p. 238p. 240p. 241p. 242p. 243p. 245p. 247p. 249p. 250p. 252p. 253p. 254p. 255p. 257p. 258p. 258p. 260p. 261p. 262p. 263p. 264p. 265p. 267p. 268p. 269p. 271p. 272p. 274

The Holy Bible: Swahili New Testament1 Corinthians 14. .1 Corinthians 15. .1 Corinthians 16. .2 Corinthians. . . . .2 Corinthians 1. . .2 Corinthians 2. . .2 Corinthians 3. . .2 Corinthians 4. . .2 Corinthians 5. . .2 Corinthians 6. . .2 Corinthians 7. . .2 Corinthians 8. . .2 Corinthians 9. . .2 Corinthians 10. .2 Corinthians 11. .2 Corinthians 12. .2 Corinthians 13. .Galatians. . . . . . . .Galatians 1. . . . .Galatians 2. . . . .Galatians 3. . . . .Galatians 4. . . . .Galatians 5. . . . .Galatians 6. . . . .Ephesians. . . . . . .Ephesians 1. . . . .Ephesians 2. . . . .Ephesians 3. . . . .Ephesians 4. . . . .Ephesians 5. . . . .Ephesians 6. . . . .Colossians. . . . . . .Colossians 1. . . .Colossians 2. . . .Colossians 3. . . .Colossians 4. . . .1 Thessalonians. . .1 Thessalonians 1.1 Thessalonians 2.1 Thessalonians 3.Anonymous.vii.p. 275p. 277p. 279p. 281p. 281p. 282p. 283p. 284p. 285p. 286p. 287p. 288p. 289p. 290p. 291p. 293p. 294p. 295p. 295p. 296p. 298p. 299p. 301p. 302p. 303p. 303p. 304p. 305p. 307p. 308p. 309p. 311p. 311p. 312p. 314p. 315p. 316p. 316p. 317p. 318

The Holy Bible: Swahili New Testament1 Thessalonians 4.1 Thessalonians 5.2 Thessalonians. . .2 Thessalonians 1.2 Thessalonians 2.2 Thessalonians 3.1 Timothy. . . . . . .1 Timothy 1. . . . .1 Timothy 2. . . . .1 Timothy 3. . . . .1 Timothy 4. . . . .1 Timothy 5. . . . .1 Timothy 6. . . . .2 Timothy. . . . . . .2 Timothy 1. . . . .2 Timothy 2. . . . .2 Timothy 3. . . . .2 Timothy 4. . . . .Titus. . . . . . . . . . .Titus 1. . . . . . . .Titus 2. . . . . . . .Titus 3. . . . . . . .Philemon. . . . . . . .Philemon 1. . . . .Hebrews. . . . . . . .Hebrews 1. . . . . .Hebrews 2. . . . . .Hebrews 3. . . . . .Hebrews 4. . . . . .Hebrews 5. . . . . .Hebrews 6. . . . . .Hebrews 7. . . . . .Hebrews 8. . . . . .Hebrews 9. . . . . .Hebrews 10. . . . .Hebrews 11. . . . .Hebrews 12. . . . .Hebrews 13. . . . .James. . . . . . . . . .James 1. . . . . . .Anonymous.viii.p. 319p. 320p. 321p. 321p. 322p. 323p. 323p. 323p. 325p. 325p. 326p. 327p. 328p. 330p. 330p. 331p. 332p. 333p. 334p. 334p. 335p. 336p. 337p. 337p. 338p. 338p. 339p. 340p. 341p. 342p. 343p. 344p. 346p. 346p. 348p. 350p. 352p. 354p. 355p. 355

The Holy Bible: Swahili New TestamentJames 2. . . .James 3. . . .James 4. . . .James 5. . . .1 Peter. . . . . .1 Peter 1. . . .1 Peter 2. . . .1 Peter 3. . . .1 Peter 4. . . .1 Peter 5. . . .2 Peter. . . . . .2 Peter 1. . . .2 Peter 2. . . .2 Peter 3. . . .1 John. . . . . .1 John 1. . . .1 John 2. . . .1 John 3. . . .1 John 4. . . .1 John 5. . . .2 John. . . . . .2 John 1. . . .3 John. . . . . .3 John 1. . . .Jude. . . . . . . .Jude 1. . . . .Revelation. . . .Revelation 1. .Revelation 2. .Revelation 3. .Revelation 4. .Revelation 5. .Revelation 6. .Revelation 7. .Revelation 8. .Revelation 9. .Revelation 10.Revelation 11.Revelation 12.Revelation 13.Anonymous.ix.p. 357p. 358p. 359p. 360p. 361p. 361p. 362p. 364p. 365p. 366p. 367p. 367p. 368p. 370p. 371p. 371p. 372p. 373p. 374p. 376p. 377p. 377p. 378p. 378p. 378p. 378p. 380p. 380p. 381p. 383p. 384p. 385p. 386p. 387p. 388p. 389p. 390p. 391p. 392p. 393

The Holy Bible: Swahili New 4.15.16.17.18.19.20.21.22.Anonymous.x.p. 394p. 396p. 396p. 398p. 399p. 400p. 402p. 403p. 404

Swahili BibleAnonymousHoly BibleSwahili New Testament

Swahili BibleAnonymousNew TestamentMatthewChapter 11Yesu Kristo alikuwa mzawa wa Daudi, mzawa wa Abrahamu. Hii ndiyo orodha ya ukoo wake:23Abrahamu alimzaa Isaka, Isaka alimzaa Yakobo, Yakobo alimzaa Yuda na ndugu zake, Yudaalimzaa Faresi na Zera (mama yao alikuwa Tamari), Faresi alimzaa Hesroni, Hesroni alimzaa Rami,45Rami alimzaa Aminadabu, Aminadabu alimzaa Nashoni, Nashoni alimzaa Salmoni, Salmonialimzaa Boazi (mama yake Boazi alikuwa Rahabu). Boazi na Ruthi walikuwa wazazi wa Obedi,6Obedi alimzaa Yese, naye Yese alimzaa Mfalme Daudi. Daudi alimzaa Solomoni (mama yake7Solomoni alikuwa mke wa Uria). Solomoni alimzaa Rehoboamu, Rehoboamu alimzaa Abiya,8Abiya alimzaa Asa, Asa alimzaa Yehoshafati, Yehoshafati alimzaa Yoramu, Yoramu alimzaa910Uzia, Uzia alimzaa Yothamu, Yothamu alimzaa Ahazi, Ahazi alimzaa Hezekia,Hezekia11alimzaa Manase, Manase alimzaa Amoni, Amoni alimzaa Yosia,Yosia alimzaa Yekonia na12ndugu zake. Huo ulikuwa wakati Wayahudi walipopelekwa uhamishoni Babuloni.Baada yaWayahudi kupelekwa uhamishomi Babuloni: Yekonia alimzaa Shealtieli, Shealtieli alimzaa13Zerobabeli,Zerobabeli alimzaa Abiudi, Abiudi alimzaa Eliakimu, Eliakimu alimzaa Azori,1415Azori alimzaa Zadoki, Zadoki alimzaa Akimu, Akimu alimzaa Eliudi, Eliudi alimzaa Eleazeri,16Eleazeri alimzaa Mathani, Mathani alimzaa Yakobo, Yakobo alimzaa Yosefu, aliyekuwa mume17wake Maria, mama yake Yesu, aitwaye Kristo.Basi, kulikuwa na vizazi kumi na vinne tanguAbrahamu mpaka Daudi, vizazi kumi na vinne tangu Daudi mpaka Wayahudi walipochukuliwamateka Babuloni, na vizazi kumi na vinne tangu kuchukuliwa mateka mpaka wakati wa Kristo.18Basi, hivi ndivyo Yesu Kristo alivyozaliwa: Maria, mama yake, alikuwa ameposwa na Yosefu.Lakini kabla hawajakaa pamoja kama mume na mke, alionekana kuwa mja mzito kwa uwezo wa19Roho Mtakatifu.Yosefu, mumewe, kwa vile alikuwa mwadilifu, hakutaka kumwaibisha20hadharani; hivyo alikusudia kumwacha kwa siri. Alipokuwa bado anawaza jambo hilo, malaikawa Bwana alimtokea katika ndoto, akamwambia, "Yosefu, mwana wa Daudi, usiogope kumchukua2

Swahili BibleAnonymous21Maria awe mke wako, maana amekuwa mja mzito kwa uwezo wa Roho Mtakatifu. Atajifunguamtoto wa kiume, nawe utampa jina Yesu, kwa kuwa yeye atawaokoa watu wake kutoka katika22dhambi zao." Basi, haya yote yalitukia ili litimie lile neno Bwana alilosema kwa njia ya nabii:23"Bikira atachukua mimba, atamzaa mtoto wa kiume, naye ataitwa Emanueli" (maana yake,24"Mungu yu pamoja nasi").Hivyo, Yosefu alipoamka usingizini alifanya kama malaika huyo25alivyomwambia, akamchukua mke wake nyumbani. Lakini hakumjua kamwe kimwili hata Mariaalipojifungua mtoto wa kiume. Naye Yosefu akampa jina Yesu.Chapter 21Yesu alizaliwa mjini Bethlehemu, mkoani Yudea, wakati Herode alipokuwa mfalme. Pundetu baada ya kuzaliwa kwake, wataalamu wa nyota kutoka mashariki walifika Yerusalemu,2wakauliza, "Yuko wapi mtoto, Mfalme wa Wayahudi, aliyezaliwa? Tumeiona nyota yake ilipotokea3mashariki, tukaja kumwabudu." Mfalme Herode aliposikia hayo, alifadhaika, yeye pamoja na4wakazi wote wa Yerusalemu. Basi akawaita pamoja makuhani wakuu wote na walimu wa Sheria,5akawauliza, "Kristo atazaliwa wapi?" Nao wakamjibu, "Mjini Bethlehemu, mkoani Yudea. Ndivyo6nabii alivyoandika: Ewe Bethlehemu katika nchi ya Yuda, kwa vyovyote wewe si mdogo kabisakati ya viongozi wa Yuda; maana kwako atatokea kiongozi atakayewaongoza watu wangu, Israeli." 7Hapo, Herode aliwaita faraghani hao wataalamu wa nyota, akawauliza wakati hasa ile nyota8ilipowatokea. Kisha akawatuma Bethlehemu akisema, "Nendeni mkachunguze kwa makini habari9za mtoto huyo. Mkisha mpata nileteeni habari ili nami niende nikamwabudu." Baada ya kumsikilizamfalme, hao wataalamu wa nyota wakaenda. Kumbe ile nyota waliyokuwa wameiona upande wa10mashariki iliwatangulia hata ikaenda kusimama juu ya mahali pale alipokuwa mtoto. Walipoiona11hiyo nyota, walifurahi mno.Basi, wakaingia nyumbani, wakamwona yule mtoto pamoja naMaria mama yake; wakapiga magoti, wakamsujudia. Kisha wakafungua hazina zao, wakampa12zawadi: dhahabu, ubani na manemane. icMungu aliwaonya katika ndoto wasimrudie Herode;13hivyo wakarudi makwao kwa njia nyingine. Baada ya wale wageni kuondoka, malaika wa Bwanaalimtokea Yosefu katika ndoto, akamwambia, "Amka! Mchukue mtoto pamoja na mama yake,3

Swahili BibleAnonymousmkimbilie Misri. Kaeni huko mpaka nitakapokwambia, maana Herode anakusudia kumwua huyu14mtoto."Hivyo, Yosefu aliamka, akamchukua mtoto pamoja na mama yake, akaondoka usiku,15akaenda Misri. Akakaa huko mpaka Herode alipokufa. Jambo hilo lilifanyika ili neno alilosema16Bwana kwa njia ya nabii litimie: "Nilimwita Mwanangu kutoka Misri."Herode alipogunduakwamba wale wataalamu wa nyota walikuwa wamemhadaa, alikasirika sana. Akaamuru watotowote wa kiume mjini Bethlehemu na kandokando yake wenye umri wa miaka miwili na chini yakewauawe. Alifanya hivyo kufuatana na muda aliopata kujua kutoka kwa wale wataalamu wa nyota.1718Ndivyo yalivyotimia maneno yaliyosemwa kwa njia ya nabii Yeremia: "Sauti imesikika mjiniRama, kilio na maombolezo mengi. Raheli anawalilia watoto wake, wala hataki kutulizwa, maana19wote wamefariki." Baada ya kifo cha Herode, malaika wa Bwana alimtokea Yosefu katika ndoto20kule Misri,akamwambia, "Amka! Mchukue mtoto pamoja na mama yake, urudi tena katika21nchi ya Israeli, maana wale waliotaka kumwua mtoto huyo wamekwisha kufa."Basi, Yosefu22aliamka, akamchukua mtoto pamoja na mama yake, akarejea katika nchi ya Israeli.LakiniYosefu aliposikia kwamba Arkelao mwanawe Herode alikuwa mfalme wa Yudea mahali pa babayake, aliogopa kwenda huko. Naye baada ya kuonywa katika ndoto, alikwenda katika mkoa wa23Galilaya, akahamia katika mji uitwao Nazareti. Ndivyo yalivyotimia maneno yaliyonenwa kwanjia ya manabii: "Ataitwa Mnazare."Chapter 312Siku hizo Yohane Mbatizaji alitokea, akaanza kuhubiri katika jangwa la Yudea: "Tubuni,3maana Ufalme wa mbinguni umekaribia." Huyu Yohane ndiye yule ambaye nabii Isaya alinenajuu yake aliposema: "Sauti ya mtu imesikika jangwani: Mtayarishieni Bwana njia yake, nyoosheni4vijia vyake." Yohane alivaa vazi lililoshonwa kwa manyoya ya ngamia, na ukanda wa ngozi5kiunoni mwake. Chakula chake kilikuwa nzige na asali ya mwituni. Basi, watu kutoka Yerusalemu,kutoka mkoa wote wa Yudea na sehemu zote za kandokando ya mto Yordani, walimwendea,67wakaziungama dhambi zao, naye akawabatiza katika mto Yordani. Lakini alipowaona Mafarisayowengi na Masadukayo wanamjia ili awabatize, aliwaambia, "Enyi kizazi cha nyoka! Ni nani8aliyewadokezea kwamba mnaweza kuiepuka ghadhabu inayokuja? Onyesheni basi kwa matendo,9kwamba mmetubu kweli. Msidhani kwamba mtaweza kujitetea kwa kusema, Baba yetu ni4

Swahili BibleAnonymousAbrahamu! Nawaambieni hakika, Mungu anaweza kuyafanya mawe haya yawe watoto wa10Abrahamu.Basi, shoka liko tayari kuikata mizizi ya miti; hivyo, kila mti usiozaa matunda11mazuri, utakatwa na kutupwa motoni.Mimi ninawabatizeni kwa maji kuonyesha kwambammetubu. Lakini yule anayekuja baada yangu ana uwezo kuliko mimi. Mimi sistahili hata kubeba12viatu vyake. Yeye atawabatizeni kwa Roho Mtakatifu na kwa moto.Yeye anashika mkononichombo cha kupuria nafaka, ili aipure nafaka yake; akusanye ngano ghalani, na makapi ayachome13kwa moto usiozimika." icWakati huo Yesu alitoka Galilaya akafika katika mto Yordani,14akamwendea Yohane ili abatizwe naye.Lakini Yohane alijaribu kumzuia akisema, "Je, wewe15unakuja kwangu? Mimi hasa ndiye ninayehitaji kubatizwa nawe." Lakini Yesu akamjibu, "Achatu iwe hivyo kwa sasa, maana kwa namna hii inafaa tuyatekeleze yale yote Mungu anayotaka."16Hapo Yohane akakubali.Mara tu Yesu alipokwisha batizwa, alitoka majini; na ghafla mbingu17zikafunguka, akaona Roho wa Mungu akishuka kama njiwa na kutua juu yake.Sauti kutokambinguni ikasema, "Huyu ndiye Mwanangu mpendwa, nimependezwa naye."Chapter 412Kisha Roho alimwongoza Yesu mpaka jangwani ili ajaribiwe na Ibilisi. Akafunga siku3arubaini mchana na usiku, na mwishowe akaona njaa. Basi, mshawishi akamjia, akamwambia,4"Ikiwa wewe ni Mwana wa Mungu, amuru mawe haya yawe mikate." Yesu akamjibu, "Imeandikwakatika Maandiko Matakatifu: Binadamu hataishi kwa mikate tu, ila kwa kila neno asemalo Mungu." 5Kisha Ibilisi akamchukua mpaka Yerusalemu, mji mtakatifu, akamweka juu ya mnara wa hekalu,6akamwambia, "Ikiwa wewe ni Mwana wa Mungu, jitupe chini; maana imeandikwa: Munguatawaamuru malaika wake kwa ajili yako; watakuchukua mikononi mwao, usije ukajikwaa kwenye78jiwe." Yesu akamwambia, "Imeandikwa pia: Usimjaribu Bwana, Mungu wako." Kisha Ibilisiakamchukua mpaka juu ya mlima mrefu, akamwonyesha falme zote za ulimwengu na fahari zake,910akamwambia, "Hivi vyote nitakupa kama tu ukipiga magoti na kuniabudu."Hapo, Yesuakamwambia, "Nenda zako Shetani! Imeandikwa: Utamwabudu Bwana Mungu wako na kumtumikia1112yeye peke yake." Basi, Ibilisi akamwacha, na malaika wakaja, wakamhudumia.Yesu13aliposikia kwamba Yohane ametiwa gerezani alikwenda Galilaya. Aliondoka Nazareti, akaenda5

Swahili BibleAnonymousKafarnaumu, mji ulio kando ya bahari ya Genesareti, mpakani mwa wilaya za Zabuloni na Naftali,1415akakaa huko.Ndivyo lilivyotimia lile neno lililosemwa kwa njia ya nabii Isaya:"Nchi yaZabuloni na nchi ya Naftali, kuelekea baharini ng ambo ya mto Yordani, Galilaya nchi ya watu wa16Mataifa!Watu waliokaa gizani wameona mwanga mkubwa. Nao walioishi katika nchi ya giza17na kivuli cha kifo, mwanga umewaangazia!" Tangu wakati huo Yesu alianza kuhubiri akisema,18"Tubuni, maana ufalme wa mbinguni umekaribia!"Yesu alipokuwa anatembea kando ya ziwaGalilaya, aliwaona ndugu wawili wavuvi; Simoni (aitwae Petro) na Andrea, ndugu yake; walikuwa19wakivua samaki kwa nyavu ziwani.Basi, akawaambia, "Nifuateni, nami nitawafanya ninyi2021wavuvi wa watu." Mara wakaziacha nyavu zao, wakamfuata. ic Alipokwenda mbele kidogo,aliwaona ndugu wengine wawili: Yakobo na Yohane, wana wa Zebedayo. Hao walikuwa ndani ya22mashua pamoja na baba yao Zebedayo, wakitengeneza nyavu zao. Basi Yesu akawaita,nao23mara wakaiacha mashua pamoja na baba yao, wakamfuata. Yesu alikuwa anakwenda kila mahaliwilayani Galilaya, akifundisha katika masunagogi na kuhubiri Habari Njema juu ya ufalme wa24Mungu. Aliponya kila namna ya maradhi na magonjwa waliyokuwa nayo watu.Habari zakezikaenea katika mkoa wote wa Siria. Wagonjwa wote wenye maradhi ya kila namna na walewaliosumbuliwa na kila namna ya taabu: waliopagawa na pepo, wenye kifafa na watu waliokuwa25wamelemaa, walipelekwa kwake; naye akawaponya wote.Makundi mengi ya watu kutokaGalilaya, Dekapoli, Yerusalemu, Yudea na ng ambo ya mto Yordani, walimfuata.Chapter 51Yesu alipoyaona makundi ya watu, alipanda mlimani, akaketi. Wanafunzi wake wakamwendea,23naye akaanza kuwafundisha: "Heri walio maskini rohoni, maana ufalme wa mbinguni ni wao.456Heri walio na huzuni, maana watafarijiwa. Heri walio wapole, maana watairithi nchi. Heri7wenye njaa na kiu ya kufanya atakavyo Mungu, maana watashibishwa. Heri walio na huruma,89maana watahurumiwa. Heri wenye moyo safi, maana watamwona Mungu. Heri wenye kuleta10amani, maana wataitwa watoto wa Mungu. Heri wanaoteswa kwa sababu ya kufanya atakavyo11Mungu, maana ufalme wa mbinguni ni wao."Heri yenu ninyi watu wakiwatukana,6

Swahili BibleAnonymous12wakiwadhulumu na kuwasingizia kila aina ya uovu kwa ajili yangu.Furahini na kushangiliamaana tuzo lenu ni kubwa mbinguni. Hivyo ndivyo walivyowadhulumu manabii waliokuwako13kabla yenu. "Ninyi ni chumvi ya dunia! Lakini chumvi ikipoteza ladha yake itakolezwa na nini?14Haifai kitu tena, ila hutupwa nje na kukanyagwa na watu."Ninyi ni mwanga wa ulimwengu!15Mji uliojengwa juu ya mlima hauwezi kufichika.Wala watu hawawashi taa na kuifunika kwa16chungu, ila huiweka juu ya kinara ili iwaangazie wote waliomo nyumbani.Vivyo hivyo, nilazima mwanga wenu uangaze mbele ya watu, ili wayaone matendo yenu mema, wamtukuze Baba17yenu aliye mbinguni.""Msidhani ya kuwa nimekuja kutangua Sheria ya Mose na mafundisho18ya manabii. Sikuja kutangua bali kukamilisha.Kweli nawaambieni, mpaka hapo mbingu nadunia zitakapopita, hakuna hata nukta moja au sehemu ndogo kabisa ya Sheria itakayoondolewa,19mpaka yote yametimia.Basi, yeyote atakayevunja hata amri moja ndogo kuliko zote, nakuwafundisha wengine wafanye hivyo, huyo atakuwa mdogo kabisa katika Ufalme wa mbiguni.Lakini yule atakayezishika na kuwafundisha wengine, huyo atakuwa mkubwa katika Ufalme wa20mbinguni. Ndiyo maana nawaambieni, wema wenu usipozidi ule wa Mafarisayo

This Bible translation was converted automatically from data files made available by the Unbound Bible project. Book names, Description: introductions, titles, paragraphs, and the like were not available, so standar